welcome to herman

we find the moment and we make it perfect 

  • system ya seed
    Written by admin on 02/22/2015,
    Comments: 0

                         Seed system Seed is a full fertilized mature ova of the plant through flower Seed physiological refers to the study of the functions of bodily parts of seed Types of seed - True seed- full fertilized mature ova of the plant through flower - vegetative propagation —through cuttings, tubers, suckers. Seed formation—seed is formed from flower Maturity seed consist of three parts - seed coat—for protection, supporting tissue. -...
  • Pinda aonya viongozi wa CCM
    Written by admin on 02/21/2015,
    Comments: 0

    AKIWA katika siku ya tatu ya ziara yake ya siku tano mkoani Iringa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameonya viongozi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuacha kuchagulia wananchi viongozi.   Alisema hayo kwa nyakati tofauti juzi, katika ziara aliyofanya katika vijiji vya Mlowa, Magozi na Kiwele wilayani Iringa, kutembelea shughuli za maendeleo. "Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Hili ni muhimu sana kwa nchi ya kidemokrasia kama hii. Tuwaache wana CCM na wananchi waamue wenyewe, wasishurutishwe...
  • Mabadiliko ya Teknolojia yatafuta Historia yetu – Asema Raisi wa Google
    Written by mimi on 02/21/2015,
    Comments: 0

    Makamu Raisi wa kampuni ya Google Inc, Vint Cerf ameonya kwamba, hivi sasa hivi tupo kwenye hatari ya kupoteza kumbukumbu zetu muhimu za kidijitali kutokana na mwenendo wa teknolojia.   Mifumo na teknolojia ya uhifadhi inabadilika kila wakati na anatabiri kuwa kuna kipindi mifumo yote ya sasa itapotea na hivyo itakuwa vigumu kupata kumbukumbu hizi tunazotengeneza sasa. Akiongea kwenye kongamano la maendeleo ya Sayansi ya Marekani (American Association for the Advancement of Science), Bw....
  • UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI
    Written by technician on 02/21/2015,
    Comments: 0

    UJASIRIAMALI---UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI by MWITA   Idadi ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya hawa wanyama, ni aina nne (Ng'ombe, kondoo, mbuzi na kuku) wanaochukua asilimia 95% ya wanyama wote wanaofugwa. Wanyama hawa hupatikana katika nchi za hari kwenye nyanda za chini. Lakini kati ya mifugo hawa, kuku ni maarufu katika nchi za hari...